esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
ni kweli hayatatumia gharama yoyote maana magari yote ya viongozi watakaoshiriki yatatumia upepo badala ya mafuta.Ni nani kawaambia kuwa maadhimisho hayo yatatumia pesa, maadhimisho hayo hayawezi kutumia hata senti moja.
kwi!kwi!kwi!