Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,063
Zile hela walizosema maadhimisho yakifutwa zitaokolewa ilikuwa ni danganya toto?Ni nani kawaambia kuwa maadhimisho hayo yatatumia pesa, maadhimisho hayo hayawezi kutumia hata senti moja.