Maadhimisho ya 56 ya siku ya Uhuru wa Tanzania Bara

Lakini kwa ufahamu wangu Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sasa utasemaje ilitwa Tanganyika haikubadilisha jina, muungano ndo ulitoa jina la Tanzania. Hebu tusaidiane kuwekana sawa hapo.
Ni sawa>Muungano wa Tanganyika na Zanzibar=Tanzania
 
Back
Top Bottom