Maabara zinavyoeneza UKIMWI kwa makusudi

Maabara zinavyoeneza UKIMWI kwa makusudi

Mkuu labda kwa watu waogawaoga wa kuchek afya zao, mimi sitapeliwi na mpima.

Kupima na kungojelezea majibu kwa mtu ni udhalilishaji, ni sawa na kuungama kwa padre umezini mara ngapi, halafu yeye akiwa kafura kwa wivu wa kupachika magoli mengi kumzidi.

Nunua vipimo mkapime chumbani kwenu, ili ukimkutanao unachuna ngozi polepole kabisa bila hiyana huku umevaa gloves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona upimaji huwa ni wawazi sana,mnweka damu kila mtu kwenye kipimo chake na vipimo mnaendelea kuviona hapo huku mnasubiri matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Baaadae mnaambiwa mtoke nje waingie wengine,hapo kunachezo unaweza chezwa Mkuu,ila kwa Swala la wadada kutembea na kipimo kuonyesha wao wako sawa hawajaathrika naweza ungana na mtoa Mada....ila sjajua wanavipata wapi?
 
Habari za wikiendi.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/mchepuko/kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakua na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/mchepuko/kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo kupimwa ukimwi hadi uende maabara, kipimo si kinakuja mnapimwa hapohapo, ya maabara yanatoka wapi, wewe toa damu na mimi nitoe damu tuone live, by the way vipimo vinauzwa phamacy kama mnajiamini kachukueni mkamalizane wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story ya kipuuzi sana
Habari za wikiendi.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/mchepuko/kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakua na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/mchepuko/kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa unatupiga kamba hakuna anayeweza kumponza mtu kwa elfu 5 au 50...kuhusu wadada wanaotembea na vipimo negative pia ni kamba za wazi maana vyenyewe vikikaa muda mrefu haviwezi kufanana hata kidogo na vipya labda mtu awe boya kabisa pia vikikaa sana huwa na vimistari vya postive kwa hiyo sio rahisi boss.

Angalizo nitoe kwa walipata ajali na wakaenda kushonwa wawe makini muda mwingine sindano inaweza mtoboa mtoa huduma halafu akakaa kimya hasa wenye maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma kwa umakini post hii (Isemayo maabara zinavyo changia kuenea kwa VVU/UKIMWI)
Mtazamo wangu inaweza kuwa sasa hihi kwa Rushwa huharibu ufahamu
Rushwa ni adui wa haki
Ushauri wangu Mamlaka husika kuanzia Ngazi ya Manispaa /Harmashauri na idara ya upelelezi kitengo cha Polisi (Maarufu Askari kanzu) wafanye uchunguzi
2-Inaweza kuundwa kamati ya siri kutoka ofisi ya Mganga mkuu wa eneo husika ikibidi mitego iandaliwe kwa kushirikisha PLHA Wanaharakati walio wazi wasaidie kuujua ukweli
MF😛LHIV Anaweza kwenda na mwanakamati mwenzie wakajifanya wapenzi mbinu hiyo ikatumika kutoka kwa PLHA kuandaa kimemo akaambatanisha na Noti ya fedha kama malipo
Mwisho
Ukweli si maabara watafanya yao waliozoea kudanganya kuwa wote ni Negative alafu wakiisha pewa majibu na kuthibitisha uhuni wa maabara
Polisi wanaingia wana wazoa wahusika wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu ipo sana tu, binafsi nina ushahidi usio na shaka. Kuna mtu maarufu kwa kiasi chake hapa bongo alijaribu lakini bahati nzuri alikutana na watumishi wanaojali maadili ya kazi waliyoapa kuifanya. Alikuja na kibinti na baada ya kukataliwa akaondoka bila kupima. Watumishi wa afya hawana budi kuacha tamaa za kijinga zinazohatarisha jamii inayotuzunguka.

Unaweza kusaidia huo ujinga halafu baadae ukakurudia mwenyewe maana anaweza kutembea na mpenzi wako na kukuletea majanga ambayo ungeweza kuyaepuka kama tu ungekua mweledi katika utumishi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni shutuma nzito sana kwa kitengo hiki muhimu sana katika mtiririko wa utoaji huduma za afya. Wahusika wafanyie kazi malalamiko haya.
 
Back
Top Bottom