Maabara zinavyoeneza UKIMWI kwa makusudi

Maabara zinavyoeneza UKIMWI kwa makusudi

Amesema kwa. Mfano inaweza kiwa zaidi ya hata elf50 jamani hivi mnacheza na mtu anaetaka kukiambukiza ukimwi kwa makusudi wengine wana hera na wanafanya kuuaambaza kwa njia hii maana kuna baadhi ya watu wanakuwa wagumu kufanya mapenzi kabla ya kwenda kupima sasa anaona isiwe taabu, anaamua kukifanyia huu uhuni msikatae hamna kitu kiaichowezwkana chini ya jua jmn ni kuwa makini tu na kuchukua tahadhali ila msibishe wala kukataa
Sio kweli kabisa

Mtumishi wa afya akuue kwa sh 5000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaa mkuu ila mimi mwenyewe nashangaa watu wanvokataa na kibisha hv kuna kitu kinashinsikana hapa chini ya jua mbele ya pesaaaa!!??? [emoji848] [emoji848] [emoji15]
Nashangaa watu wanabisha,Tanzania kitu gani kinashindikana?

Chukua tahadhari umeshapewa mchongo huo,au acha uzinzi usalimike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni story za kijiweni.
Hakuna mtu anayeweza kuhatarisha maisha ya binadamu mwenzie au kazi yake kwaajili ya upuuzi wa mtu mwengine mathalani kwa shilling 10 au 5 huu ni uongo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Achana na mimba Kuna window period,

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha huyu jamaa akishaambiwa wapo ok ni kama kawashiwa green light, wao ni 'uno' usiku mzima.

Ingawa hao wapimaji hupaswa kusema "hatujaona maambukizi kwa sasa...nendeni mrudi baada ya miezi mitatu" na hapo Wapimwaji wana mtihani wa kuchungana kuhakikisha hakuna anayengonoka mpaka watakaporudi tena kupima.

Hawa ndio wale wakikutwa na maambukizi wanasema wamelogwa, maana hudhani ya kuwa wamechukua tahadhari zote kwa 100%.
 
Halafu kuna wahudu wengine wao wakipima hata kama huna homa ni kukupa majibu ya kukutisha halafu wanakuelekeza kwa mashosti,ndg au jamaa zao ili ukawaungishe dawa,ukienda kupima kwingine hata kama hukutumia dawa unaambiwa huna tatizo.ushauri waripotiwe kwa ushahidi na watimuliwe kazi.
 
Kama watoa huduma za afya hususani wataalamu wa maabara hawatakua makini au kufanya kazi zao kwa weledi kutokana na taaluma zao basi wataumiza watu wengi.
Siku moja nilikuwa nasikiliza namna maabara zinavyotakiwa kuendeshwa, ikagundulika kuwa baadhi ya maabara haziendeshwi na watu waliosomea fani hiyo! Kwa hiyo, ni vizuri kwenda katika maabara zilizo katika hospitali za uhakika kuliko hizo za mitaani! Unawezakuambia unaumwa kumbe huumwi au ikawa kinyume chake!
 
Sahihi kabisa, kwa ujumal hili jambo lipo mahali pabaya.!

Back
Top Bottom