Maabara zinavyoeneza UKIMWI kwa makusudi

Habari za wikiendi.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/mchepuko/kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakua na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/mchepuko/kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi ikishafika hapa, ina tatizo kubwa kuliko UKIMWI.

Terrible...!
 
Naona watu vile wanapanick, unaweza kufanya utafiti mdogo tu kwenye hizi maabara za watu binafsi, utanielewa.

Unashangaa mtu kupewa buku 5, wakati traffic wanahongwa hadi buku 2.

Hili jambo lipo hasa hizi maabara za mtaani, kuhusu kusubiri majibu siyo kweli utakaa hapo hapo ila utakaa sehem ya kusubiri majib na kupisha watu wengine wasikilizwe.

Jaribu kuchunguza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wikiendi.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/mchepuko/kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakua na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/mchepuko/kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia condom mara zote, huyo sio mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika bhana! Unatoa uhai wa mtu sadaka kwa TZS 5000,hela ya fenesi moja!
 
Ni vizuri ungekuja na evidence au moja kwa moja ungetoa taarifa hizi kwa vyombo husika ili hao unaowatuhumu wachukuliwe hatua,vinginevyo zinabaki kuwa ni story za kwenye vijiwe vya alkasusu
 
Habari za wikiendi.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/mchepuko/kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakua na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/mchepuko/kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjiandae kwa Corona
 
Back
Top Bottom