Maabara zinavyoeneza UKIMWI kwa makusudi

Habari za wikiendi.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/mchepuko/kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakua na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/mchepuko/kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Ebanaeeee......!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Condom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wikiendi,

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/ mchepuko/ kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mpenzi/ mchepuko/ kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Inaonekana uko Giningi jirani na wagagagigikoko ambako ukimwi unapimwa kama malaria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maabara hatupimi ukimwi,wanapima CTC bcoz kule ndo kuna ushauri Nasaha before n after result,usiidhalilishe fan yetu bwana,,
Au uache kwenda kwenye maabara za vichocholoni
Be carefull

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi kufunga camera mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmh haitasaidia pia labda ziwe za 360° nayo.. labda akiinama kubadili si yale yale tu

Bora hata kuwa na mtu wa pili au watatu kutenda hayo na majibu ndio waogopane hapo.. kidogo itasaidia.. ila nayo!!!

Tatizo Tanzania watu wanatamaa sana na roho mbaya sana.. watendaji wengi wanayo hayo na zaidi na ndio maana hawalomi
 
Habari za wikiendi,

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kumekuwa na michezo michafu inaendelea maabara za afya huku mtaani katika suala la UKIMWI.

Ipo hivi, kuna kasumba ukipata mpenzi/ mchepuko/ kipozeo basi mnachukuana kwenda kupima afya kwanza ili mkienda kwenye 5*6, 6*6 mjiachie wenyewe bila kutumia kondomu.

Mnapofika Maabara kunakuwa na kamchezo wanacheza hawa wapimaji wasio waadilifu na mpenzi/mchepuko/kipozeo wako, hapa usipokua makini unaenda kuungwa gridi ya taifa.

Mpenzi/ mchepuko/ kipozeo wako anaweza kumuandikia ki memo mpimaji akaambatanisha na noti ya TSH 10,000 au 5,000. Kimemo kinaweza kusomeka hivi "Mimi najijua nimeathirika, hivyo tumia damu yake kutoa majibu yetu sote"

Hicho ki memo anakua amekiandika muda, akifika hapo anakua anamkanyaga mtoa huduma, hivyo mtoa huduma atajiongeza tu. Kimemo kitaachwa mezani wakati mnanyanyuka kusubiri majibu.

Wengine wanawahi kutangulia maabara "kumseti" mtoa huduma, anmtoa kidogo anatumia damu ya mtu mwingine, anaipima kabisa kisha kipimo kinahifadhiwa ndani.

Ukiachana na mchezo huo mchafu wa maabara kuna wadada wanatembea na vipimo ambacho kinasoma Negative kabisa, kumbe yeye ni Positive.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu siku hizi hawaogopi magonjwa mengine wanaogopa ukimwi tu. Kuna magonjwa kama homa ya ini, masundo sundo ni hatari kama au zaidi ya ukimwi, acha kujishitukia kama demu wako alikutishia baada ya kishindwa kumlipa mlipe tu watu mnapenda dezo sana.
 
Naona watu vile wanapanick, unaweza kufanya utafiti mdogo tu kwenye hizi maabara za watu binafsi, utanielewa.

Unashangaa mtu kupewa buku 5, wakati traffic wanahongwa hadi buku 2.

Hili jambo lipo hasa hizi maabara za mtaani, kuhusu kusubiri majibu siyo kweli utakaa hapo hapo ila utakaa sehem ya kusubiri majib na kupisha watu wengine wasikilizwe.

Jaribu kuchunguza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumpa trafic 2000 ili aue mtu

Jamaa hawaelewi nini, utaratibu wa damu huwa inaachwa maabara kisha ripoti anapelekewa daktari wakati mnasubiria kuitwa ili mpewe muafaka.

Uhuni unapofanyika ni kwamba daktari anaweza toa ripoti ya uongo katika kulinda maslahi ya mmoja wenu aidha kwa hiari yake ama makusudi maalum ikiwamo kupewa hongo. Inawezekana vipi?

Hivi kwa mfano siku ya miadi mliokubaliana kwenda kupima mmoja akaamua kutangulia chumba cha daktari nakumpanga kuwa baadae mtakapokuja naomba utoe majibu yangu yawe mazuri hata kama nitaonekana nimeathirika naomba nifunikie kombe ndugu yangu na ukamshikisha bakshishi kidogo unadhani atakataa???
 
Mimi nawaahauri watoa huduma za afya huko kweny maabara zetu wasi kubali kuua watu wasio na hatia kwa ujinga wao nachojua mimi nikipewa hera nachukua na majibu natoa ya ukweli bila kupindisha wala kupepesa macho sasa kwani atanifanya nini huyo mteja aliekuja kupima ukimwi ikiwa nishampa majibu yake mbele ya demu wake kama anao ni nitasema anao najua hatanidai hera yake coz wakat ananipa hakuna shahidi wala hamna mahali tumesainishana kwaiyo hana cha kunifanya.. Naomba kila mtoa huduma afanye hivi vinginevo tutaumia sana
Kama watoa huduma za afya hususani wataalamu wa maabara hawatakua makini au kufanya kazi zao kwa weledi kutokana na taaluma zao basi wataumiza watu wengi.
 
Unakuta yy kasha enda kuwapanga hao watoa huduma kabla ya nyie kwenda huko maabala kwa iyo we mnakuja kwenda huku yy kasha malizana nao unaenda unajua ndo mnaenda wote kumbe yy akashakuwai kwaiyo hata hutajua lolote we utakuwepo tu kama boya inshu qashamaliza kwaiyo hapo dawa ni kwenda kituo au sehemu ambayo hajaichagua yy akikuambia twende kituo furani usiku bali maana anaweza kuwa kasha kwenda kuwapoza wakukuchomshe dawa ni kwenda kupima bila kuwa mlipanga yaani mshitukizane wote asiwepo mtu aliwjiandaa kwa kwenda kupanga hii dili mtoa huduma ukimuambia huko siendi ukaona anakuwa mkali na kukataa nawe kataa kwenda jua tayari ushazungukwa
Mimi nitapima nikiwa naye na sitoki hadi majibu niyaone kwa macho palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwaga chini ni ww acha kuwa mshamba bhana
kama unaogopa ngoma acha kungonoka ngonoka hovyo, otherwise tumia kinga.

Na unaposema 'ili msitumie condom' vipi ishu ya mimba zisizopangwa?
 
Back
Top Bottom