Maaana yake ni nini hasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maaana yake ni nini hasa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tata, Feb 6, 2012.

 1. T

  Tata JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,737
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikisikia watu wanalalamika kuhusu suala la kupungukiwa na nguvu za kiume na suala hili limekuwa ni chanzo cha migogoro mingi ya mahusiano kati ya jinsia mbili kuu yaani ke na me. Waganga wa jadi wamekuwa wakupata sana biashara kutokana na tatizo hili wakija na dawa za aina nyingi ambazo ufanisi wake ni wa mashaka matupu.

  Suala ambalo ni dhahiri ni kuwa maana halisi ya tatizo hili haiko wazi. Zifuatazo ni baadhi ya tafsiri mbalimbali za tatizo hili kwa mujibu wa utafiti mdogo usio rasimi nilioufanya:-
  • Kuachia manii mapema kabla ya kumridhisha mwenzi;
  • Kushindwa kuendelea na shughuli baada ya kumaliza kutoa manii mara moja;
  • Kushindwa kusimamisha kifaa kazi ili kupata uimara unaohitajika kwa ajili ya shughuli;
  • Kushindwa kupata hisia za muhimu zinazohitajika kuchochea mwamko wa kifaa kazi.
  • Kupata hisia lakini bila kuwa na uwezo wa kuamsha kifaa kazi - i.e. mtarimbo doro.
  • etc.
  Swali langu la msingi ni jee kupungukiwa/kuishiwa nguvu maana yake ni nini hasa?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  maana yake ni hizo sababu ulizoziweka kwenye bullets
   
 3. T

  Tata JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,737
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  Ndugu Badili Tabia kila tatizo hapo ni tofauti na jingine na lina sababu tofauti. Sasa iweje yote yawe ni maana moja?
   
Loading...