Ma-turbo ya The Picnic bar Arusha

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,221
Du nipo Arusha town viunga vya Makao Mapya hapa kuna bar maarufu sana inaitwa Picnic bar,asalalee hao wafanya kazi wake ni ma turbo ya nguvu sijawahi ona,na haya maturbo yapo mengi,yanaingia kwa zamu,najiuliza hivi yanalipwa kiasi gani yalivyo ni kama mafanya kazi kwenye benki yalivyojikarabati,du Arusha si mchezo,naona hii ni mitego waziwazi ngoja nijirudie zangu bongo.Kwa wale wenye aleji na mi turbo hapo ndipo kwake
 
Ndicho pekee ulichokiona huko?hukuona hata magorofa mengi mapya ya kichina?au umewazoea wa pale sewa.
 
nawajua hao alafu wote wanava vimini. They are beatfull kwa kweli ila hiyo bar inakera ipo karibu na maskani ya machangudoa wa Mrina
 
Wanalipwa kutokana na Vinywaji wanavyo hudumia na wako free kuondoka muda wowote.
 
hiyo the picni bar wanachofanya huw wanachukua wadada wote wanaojiuza mjinii hapo na kuwapa kazi mchana ila usiku wapo kazini na wanajilipa wenyewe.....
 
Du nipo Arusha town viunga vya Makao Mapya hapa kuna bar maarufu sana inaitwa Picnic bar,asalalee hao wafanya kazi wake ni ma turbo ya nguvu sijawahi ona,na haya maturbo yapo mengi,yanaingia kwa zamu,najiuliza hivi yanalipwa kiasi gani yalivyo ni kama mafanya kazi kwenye benki yalivyojikarabati,du Arusha si mchezo,naona hii ni mitego waziwazi ngoja nijirudie zangu bongo.Kwa wale wenye aleji na mi turbo hapo ndipo kwake

Je kuna mtu anajua ile guest iliyopo pale gorofa ya kwanza hapo picnic ina biashara gani?
 
Ndio maana Tanzania ipo on Obamas watchlist ya humantrafficking for sexual exploitation. Tutapigwa sanctions any moment.
 
Ukweli hiyo Picnic Bar kama haupo makini hutakiwi kwenda, nini Makalio Bar mambo iko hap!! Kuna wahudumu yaani kama humjui ukakutana naye njiani utaanza kjjiuliza mwanamke mzuri kama huyu nitampaje??? Kumbe waiter!!

Ukweli ni kwamba wanawake wale wamewekwa ili kuwavuta wateja waje kwa wingi, kuna siku nilifanya conclusion kuwa wale wamewekwa kama chuma ulete kwa mchawi lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom