Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

uyo wa pili baada ya Aude alikua anaitwa Raymond Aidani ndio aliyechukua magamba yote pale kibaha wakat wa graduation lakin bahat mbaya necta akawa wa pili kitaifa jamaa baada ya kua wa pili akadhaminiwa na kampuni ya simu kwa sasa Airtel lakin Mwenyez mung anamipango yake Mr Raymond Aidan akafariki mwaka 2015 baada ya figo kufeli Rest in peace bro!
Acha uongo mkuu Raymond anafanyia TPDC Somanga Mtwara.
Yupo hai hajafa ukitaka namba yake ntakupa.
 
Acha uongo mkuu Raymond anafanyia TPDC Somanga Mtwara.
Yupo hai hajafa ukitaka namba yake ntakupa.
Kwa faida yako tu Ray amefariki kwa tatizo nililokueleza hapo juu na msiba ulikua kwake kigamboni familia nzima ikiongozwa na dada wa marehemu Zawadi (Getu) na Mzee Aidani na Mama yake tulimpuzisha kwa amani na alifariki katika hospital ya taifa muhimbili baada ya kidondoka ghafla na kuwaishwa hospitalin pale na kushindwa kula chakula na kupata choo( intestinal obstruction) baadae damu kupungua gafla( severe anemia) mwisho wa siku akawa diagnosed with Acute kidney injury ambayo ikamfanya akawa ndani ya dialysis therapy ndani ya siku kazaa akafariki. na tumempizisha kigamboni......

next time usibishe vitu usivyovijua pumbavu
 
c7570c90f5ef0d8a449d2068812f43a9.jpg
 
Ohh poleni sana
 
Pamoja na hao mi namkubali kijana wangu Raymond Tibakya japo hakufanikiwa kuwa T.O au kuingia top ten.
Mliosoma Tabora boys 2012-2014 mnaweza kumjua
 
LEO NGOJA NIKUMBUSHIE TUKIO ZURI SANA KUHUSU ELIMU

Ni muda mrefu sana sijaandika kuhusu Maswala ya ELIMU hivyo wengi wakanibatiza majina mara 'Mr Love ', 'KIBAMIA','Mwanaharati' na wengine wakaenda mbali nakuniita 'MZEE WA MISAMBWANDA '

Hahahaha me nafurahi tu kuona watu wakinichukuliwa tofauti na uhalisia wangu.

Sasa niweke wazi tu kuwa katika mambo ya 'elimu' nipo mstari wa mbele kabisa kusaidia mapambano hasa kwa watoto wa 'NDALICHAKO ' kufaulu mitihani yao.

Humu JF tumesoma shule katika zama tofauti kabisa,mfano mimi nilianza la kwanza kipindi cha MKAPA na nikamaliza 6 kipindi cha KIKWETE aka MZEE MAARUFU.

Katika elimu kwa kipindi hiki yalitokea matukio mengi sana ila leo nataka kuongelea moja tu ambalo linakuwa chachu ya kufaulu kwa wanafunzi wa sasa kama watasoma uzi huu.

TUANZIE MWAKA 2009

Kulikuwa na mwanafunzi anasoma Form 6 KIBAHA anaitwa 'AUDE KILEO'

Huyu mwanafunzi alikuwa ni best best na best of all pale kibaha kwa uwezo wake katika kombi ya PCM.
Huyu 'AUDE KILEO' Alikuwa mtu wa ajabu ajabu maana waliporipoti tu Kuanza kidato cha 5 akiwa ameshasoma huko vibanda umiza masomo yote ya PCM na mada zote zote.Yani jamaa kwa kifupi alienda shule akiwa amesoma mada zote za Physics,Chemistry na Mathematics kuanzia za form 5 mpaka za 6.Jamaa was very intelligent.

Nov 2008 kulikuwa na mitihani ya mock form 6 kanda ya kaskazini hivyo akaamua aende akajipime ubavu ILBORU yaani akaombe afanye mitihani ya kanda ya KASKAZINI baada ya kuona mitihani ya kanda yake KIBAHA hakuna mpinzani ambaye alimkaribia hata kwa mbali.

JAMAA akatimba ILBORU kufanya mitihani na wakanda hiyo.Sasa cha ajabu ni kuwa katika shule ya ILBORU alikuwepo kijana mmoja ambaye kwa wakati huo yeye alikuwa kidato cha 5 hivyo hatofanya mitihani ya FORM 6 maana hajafika huko.Kijana huyu alikuwa anaitwa 'JAPHET JOHN'.

Jamaa kaforce kuwa yupo tayari kulipia hela ili tu ajipime kwa uwezo wake aliofikia japo ni wa kidato cha chini.

UONGOZI wa shule ukaona 'MTOTO ' akililia wembe mpe umkate,hivyo kijana 'JAPHET JOHN ' akaruhusiwa kufanya mtihani huo wa kanda wa kidato cha 6 japo yeye ni kidato cha tano.

Hahahahahaha kitu ambacho wengi walikuwa hawajui ni kuwa mnyama 'AUDE KILEO ' atakuwa dimbani
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

SIKU YA MTIHANI IKAFIKA

Mtihani ukafanywa ambapo MTABE 'AUDE KILEO ' Kutoka MKOA wa PWANI(KIBAHA) akawa mwanafunzi bora kikanda na KIJANA aliyekuwa nyuma kidarasa JAPHET JOHN akawa wapili KIKANDA.

Wengi walishangaa kuona mwanafunzi wa kidato cha tano anawashinda kidato cha 6 WOTE kasoro mmoja tu tena sio wa kanda ile ila aliomba tu kushiriki.

AUDE KILEO alirejea KIBAHA SEC na KUWAABMIA WENZIE KUWA 'MIMI MWAKA HUU NITAKUWA TO ILA MWAKANI TO ATAKUWA JAPHET JOHN WA ILBORU'.Akawapa sifa zake

Kweli matokeo ya form 6 kitaifa mwaka 2009 AUDE KILEO alikuwa mwanafunzi wa kwanza KITAIFA kama alivyotegemea na MATOKEO YA FORM 6 MWAKA ULIOFUATA WA KWANZA ALIKUWA NI YULE YULE 'JAPHET JOHN ' wa ILBORU

Hii tunaita 'Kuwa TO kunahitaji mandalizi ya kutosha'
View attachment 649898

View attachment 649900

NOTE:Mtihani wa mock ambao JAPHET JOHN alifanya na AUDE KILEO ulihusisha MA-TO wawili hivyo lazima mmoja awe wa kwanza na mwingine awe wa pili.(FAHARI WAWILI HAWAKAI ZIZI MOJA )

Deadbody
Umenikumbusha mbali. Nilisoma na Aude darasa moja PCM pale Kibaha.

Nimesoma naye darasa moja, so I know a lot. Wakati tunasoma kwenye mitihani ya Term wala hakuwa anaongoza kwa kutisha hivyo.

Alikuwa bright(kama kawaida yetu kibaha boys)

Sikujua kuwa angetisha kiasi kile, na wengi hatukuexpect kuwa angefanya vizuri namna ile.

Alitusuprise and I'm really Proud of him.
 
Chegere Martin kwa walio graduate 2010 pale UDSM hakuwa wa kwanza ila najua alikuwa na GPA nzuri . What I knw ni kwamba aliekuwa overall best student kwa graduands wa 2010 ni mwanadada mmoja hataree sana alikuwa anasoma Bsc in Computer Science na alikuwa na GPA ya 5 na ndie aliepewa mamlaka ya kusoma ile risala kwa niaba ya sisi vilaza tuliokuwa na Gentlemen Class
Hahhaha we jamaaa eti kwa niaba ya sie vilaza wenye gentle jf raha sanaa
 
Kwa faida yako tu Ray amefariki kwa tatizo nililokueleza hapo juu na msiba ulikua kwake kigamboni familia nzima ikiongozwa na dada wa marehemu Zawadi (Getu) na Mzee Aidani na Mama yake tulimpuzisha kwa amani na alifariki katika hospital ya taifa muhimbili baada ya kidondoka ghafla na kuwaishwa hospitalin pale na kushindwa kula chakula na kupata choo( intestinal obstruction) baadae damu kupungua gafla( severe anemia) mwisho wa siku akawa diagnosed with Acute kidney injury ambayo ikamfanya akawa ndani ya dialysis therapy ndani ya siku kazaa akafariki. na tumempizisha kigamboni......

next time usibishe vitu usivyovijua pumbavu

Mkuu bila shaka wewe ni Doctor wa maganda ya korosho maana umetumia lugha ya kidaktari zaidi
 
Back
Top Bottom