[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ha ha wapo watakaosema ni juhudi za awamu ya tano[emoji41][emoji12]
Yaani Sisters Inaonekana Walikuwa Wanaamka Na BBCSWAHILI Saa Kumi Na Mbili Wanaloweka Imo ImoHhaahhaha!haya mamy!
mkuu, shida sio kupenda sana qich qich ila ni ngumu kupinga agizo la Mungu juu ya kuzaana wewe kama kiumbe wa kawaida uliyetimilika. Utaweza tu kumudu ikiwa ni mteule kweli wa Mungu kwa kuwa kibali cha kushinda vishawishi utapatiwa pia.Hivi hili kanisa linakwama wapi?
Inaonesha watumishi wake wanapenda sana kwichi kwichi.
Why not legalise it?
Hahaha,,,,natamani ungekuwa na Mimi, hope umenielewaThe best feeling ever, kila la kheri kwao.
Kesho saa nne mimi na wewe hope umenielewa.
Hakuna raha km ya kuitwa mama!acha wazae tu
hahahahah. ....nyege nouma
hahahahah. .hakuna picha? ?Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Watakuja kusema ati wamejazwa na roho mtakatifu...
Kitanda hakizai haramu![emoji4][emoji4][emoji4]
Rafiki napata taabu kidogo hapa![emoji41][emoji41][emoji41]Aisee..
Waruhusiwe tu kuijaza dunia..
Hii Bhaghoshaa 😂Yaani Sisters Inaonekana Walikuwa Wanaamka Na BBCSWAHILI Saa Kumi Na Mbili Wanaloweka Imo Imo
Hii Bhaghoshaa 😁😀😂😃😄😅