Aisee sijui hata nisemeje,anyway natumai hamjambo ndugu zangu.
kichwa cha habari hapo juu chahusika.
ni hivi wakubwa,mimi nilikua sijui kumbe maza na mdingi ni mamember humu,tena hasa chit chat na tena ni maarufu humu kishenzi.
Sasa kumbe mdingi alikua anatumia id na picha ya kike,yaani alikua anajulikana kama ni demu humu,maza naye alikua ana nyingi na mojawapo alikua anajifanya ni mwanaume.
Sasa bana sijui nani kati yao aliharibu humu mods wakazimerge ids zote ambazo zilikua zikitumia laptop ya wazazi wakijua ni mtu mmoja.
Maza alikua hajui kama mdingi ni member humu na mdingi naye alikua hajui kama maza ni member humu,yaani kila mmoja wao alikua anatumia laptop kimya kimya bila mwingine kujua.
Sasa bana mods walipozimerge ids zao ndo hapo moto ukawaka,maza anamwambia mdingi alikua ana maana gani kujifanya ni demu,maza ameenda mbali kiasi cha kumwambia mdingi kuwa anahisi mdingi ni shoga(god forbid) ndo maana anajifanya demu humu ili avutie midume imtongoze.
Mdingi naye anamwambia maza kwanini ajifanye ni dume au ni msagaji anawinda mademu wenzie.Maza anadai yeye sio msagaji ila hata kama ni msagaji ni bora kuliko mume shoga.
Mdingi alipozidiwa na maneno makali ya maza akaamua kumtuliza maza kwa kipondo,baada ya maza kupewa kipondo akaamua kuifikisha kesi kwa wazee.
Tatizo sasa kina babu na bibi waliopelekewa kesi hawajui jf ni nini,wengine wanadhani ni BAR,wengine wanadhani ni guest house shangazi anadhani ni danguro,yaani ni mvurugiko ndugu zangu.
Hapa nina huzuni sana wakubwa,maza kahama home,anadai anataka mdingi atafute mbinu za kumuhakikishia kuwa yeye sio shoga,mdingi naye anamwambia maza kama yeye kazoea michezo ya kisodoma ya kusagana asimsingizie wala asimuhusishe kwenye huo upuuzi.
Kwa kweli mimi najua wazazi wangu sio shoga wala msagaji,najua walikua wanataka tu kuzengea member wengine humu kama ambavyo ids nyingi zimezoeleka,na sio ajabu kwa member wa kiume humu kujifanya demu.
Tatizo sijui hata nifanyaje nimalize huu utata,hii ndoa ya hawa wazee wangu iko mashakani.
Kama una maoni au ushauri wa jinsi ya kuokoa hii ndoa iliyodumu zaidi ya miaka 18 tafadhali naomba unisaidie.
ASANTENI SANA.