Ma- JOBLESS NI WENGI JAMANI! SERIKALI ITAZAME HILI SUALA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma- JOBLESS NI WENGI JAMANI! SERIKALI ITAZAME HILI SUALA!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mchaka Mchaka, Jun 22, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  [h=1]dogo janja atua jijini dar, ajiunga mtanashati entertainment:[/h] View attachment 57208 .........
  Hivi hawa watu wanapata wapi huu muda? Yaani unafunga safari all the way kuja kumpokea mtu mmoja, tena muda wa kazi? Bado tuna safari ndefu sana!
   
 2. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hawa nahisi kuna vihela kidogo wamepewa ili kuwarusha roho tip top we ukiwaangalia hao unafikiri wote ni wapenzi wa huyo dogo janja! Upuuzi mtupu
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Anayetaka kuwa Rais wa nchi hii namuonea huruma sana, maana kazi ya kuongoza Taifa lililojaa mazezeta ni kazi ngumu.
   
 4. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  njaa izi !
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Dah..kazi kweli kweli.. During daytime?
   
 6. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,042
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  ni dhahiri!
  Imenifurahisha mkuu
   
 7. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,042
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Khaah!hovyooo
   
 8. L

  Leornado JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbona msafara wa kikwete unabeba watu zaidi 50 kumsindikiza tu kwenda shambani kwake kucheki mahindi...kwani na hao hawana makwao au kazi za maana za kufanya?

  Hii nchi ndo tulivyo, vitu visivyo vya maana tunavipa muda na vya maana tunapiga domo kazi hatafanyi
   
Loading...