Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,797
- 1,567
Na bado masimango kibao wanapata!!
Nimekubali kitu ambacho wengi hapa hawako tayari kukubali,i was 16 and many boys were telling me how they did it with their h/g so i also did.Khaaa jamani wewe uporoto??!!!, ilitakiwa umuoe huyo binti.....:rain::rain:
Nimekubali kitu ambacho wengi hapa hawako tayari kukubali,i was 16 and many boys were telling me how they did it with their h/g so i also did.
:A S 13:.Angalia tu asije akafanya mpaka zile huduma za mke wako kwako....:rain:
Kuliko ukatafute nje si bora 'zero grazing' kama analipa, hata kina mama wengi wanatabia ya kuomba dereva, house boy wakati mwingine hata walinzi kusaidia kutoa huduma za baba anaposafiri.
sema hapo Karen?
Halafu siku hizi wanapatikana kwa shida, yaani shule za secondary zilizoanzishwa zinawazoa wote. Hivyo ukimpoteza uliyenaye sasa kumpata mwingine inachukua muda sana.Waheshimuni sana mlionao sasa.
Yawezekana miaka inayokuja hawa house girls wa kulala nyumbani hawatakuwepo kwani watafanya kazi kwa haki/sheria zaidi, anakuja asubuhi na anaondoka jioni, si mnajuwa watakuwa wasomi!
kwa kweli hawa watu ni muhimu sana na wanastahili kupewa heshima zote..............huwa najisikia vibaya sana ninapoona wakinyanyaswa wakati wao ndo waangalizi wa familia so sad jamani!!!!!!
Sheria. Lazima wafanyakazi wa majumbani waweze kulipwa kutokana na kazi wanazozifanya, hii ni sawa na utumwa haiwezekani waonewe kiasi hiki na hakuna sheria ambazo zinawalinda. Ni aibu kubwa kwa taifa katika karne hii kuona kuna watu ambao wanawatumia wenzao kama watumwa.
Nilipokuwa ndogo, Nakumbuka mama yangu alifuata msichana wa kazi kijijini akamleta na kumtambulisha kwetu kama mama yetu mdogo,( yaani mdogo wake). Huyo ndio aliye tupikia,tufulia,tuogesha, na kutufundisha kuoga, kufua, kuvaa nguo, na mambo mengine mengi . alinipeleka shule na kunifuata mchana, alinisaidia kuvuka barabara, kunibeba, alinifundisha ukakamavu pale wazazi wangu walipokuwa hawapo kwani sikuweza...........
Siyo kuongeza mshara tu pia kuwa endeleza ingawa wengi wao hawajasoma lakini siyo mbaya ukimpeleka hata shule ya ushonaji,ususi nk ukatenga saa angalau mbili kwa siku ili apate muda wa kujifunza...itamsaidia sana kwenye maisha yake..binafsi wa kwangu anasoma...Ellia,
Hawa wadada ni wa muhimu sana katika maisha yetu maana bila wao mambo ni magumu, wanatutunzia watoto, kuwapeleka shule, kuwapikia/kutupikia, kutufulia na mambo mengine mengi sana. Kiukweli mim huwa nachukia na kushangaa watu wanaonyanyasa hawa wadada na kuwapa mshahara wa 10000 ni mbaya sana umakabidhi nyumba na watoto wako wa thamani kuliko chochote lakini anaambulia mshahara wa 10000.
Hebu tuwafikirie angalau kidogo wadada wetu wa nyumbani tuongeze mshahara na upendo kwao.
Ni watu wa muhimu sana.
Nawapenda na kuwaheshimu wadada wote wa nyumbani asanteni kwa kututunzia watoto na nyumba. Mungu awabariki sana wadada.
DA
kwa kweli hawa watu ni muhimu sana na wanastahili kupewa heshima zote..............huwa najisikia vibaya sana ninapoona wakinyanyaswa wakati wao ndo waangalizi wa familia so sad jamani!!!!!!