MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,731
Wazazi inaonekana wako busy sana kusaka pesa, na majukumu ya kulea watoti sasa wamekabidhiwa Ma house Girl, Matron na Walimu, kwamba hao ndio wana paswa kumfundisha mtoto maadilu mema kwa niaba ya mzazi.
Mbaya sasa weekend badala wazazi wakae na watoto unakuta Ding linatoka lenyewe kwenda viwanja na washikaji zake, yaani Baba badala basi weekend atumie huo muda kukaaa na watoto na kuwapa mafunzo ndio kwanza weekend yuko busy kutoka na washikaji zake kwenda kuangalia EPL na Mama ndio muda wa kwenda saloon na kwenda kwa rafiki zake.
Kwamba EPL ni muhimu zaidi ya kukaa na watoto?
Watoto wanajikuta muda wote wako na House Girl, shulen kule matron na Walimu, mzazi unakuta anatamba kwamba ana bint wa kazi mzuri sana anapenda watoto, hio sio sababu wala tiketi ya kukwepa majukumu.
Hizi ni nyakati za hatari sana kwa watoto na wazazi mkuendelea kujifunga mko very busy mtakuha kujuta mbele ya safari.