Ma "house girl" ndo wanawake wa kuoa

Ma "house girl" ndo wanawake wa kuoa

Atamwoa kisha atakuwa na wake wawili,then kila mke ataleta house girl hivyo watakua wawili,hao nao atawawowa,mpaka hapo atakuwa na wake wanne.

Zoezi litaendelea mpaka afe shubaaaamit.
Hahah!! Aisee hatari sana mkuu, hawa vijana ndio wakina nabii titto wajao
 
Baada ya kuoa mwanamke unayempenda/ anayekupenda eti unaoa mwanamke anayejua kupika sijui kulea watoto, baadae unaanza kuleta uzi wa kulalama
 
Itakua kuna house

Itakua kuna house girl tu kamuelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au wanafanya kazi pamoja kamuona anafaa, yy aseme kampenda tu sio iwe sababu ya kuoa
 
Kuna house girl hapa lazima nioe kwa sababu anajua kupika,kulea watoto,na pia ana heshima,tofauti kabisa na haya mashakurunpepe ya mjini ambayo hayafai kabisa
Wanabadilikaga mkuu wakishakua maza house. Mwanamke ni mwanamke tu aisee. We km umependa oa tu ILA si wote wako hivyo.. Ni kubahatisha tu...
 
Nyie acheni tu mi beki 3 wangu nimekula mwaka wa tatu sasa. Nina mwezi toka ameacha kazi mm naumwa wivu sili, silali yaan inshort sina raha, ndani ninemchukia kila mtu. Hapa ijumaa nataka nimfate kwao nikakae naye weekend nzima nikirudi kwangu stress zimeisha
 
Yeye kasema wazazi wake wakikataa ama wakubali lazima anifuate nlipo. Kaniteka mzima mzima
 
Si unajua ile masikini akipata anaonyesha makucha yake
Ndiyo siku 2 migogoro, hata yy anataka kuolewa lazima anyenyekee ili apate ataleta jeuri wakati hapo ndipo aponeapo?
 
Nyie acheni tu mi beki 3 wangu nimekula mwaka wa tatu sasa. Nina mwezi toka ameacha kazi mm naumwa wivu sili, silali yaan inshort sina raha, ndani ninemchukia kila mtu. Hapa ijumaa nataka nimfate kwao nikakae naye weekend nzima nikirudi kwangu stress zimeisha
Miaka mitatu unamtafuna beki 3 pasi mkeo kujua?
Kweli wewe jini.
 
Back
Top Bottom