Mwanamke wa kutembea na housegirl hana dawa...hata ufanyaje..
Mwanamke wa kutembea na housegirl hana dawa...hata ufanyaje..
House boy kabisa!!!
Mbona akiamua kuchepuka wako wengi tu huko mtaani wenye muda,house boy inakuwa kama unambaka maana ana hofu yuko na big boss!
koesheni, umenikumbusha sheria ya kazi, huu ni ubakaji.[/QUOTE]
Ni ubakaji kwa kweli!
House boy kabisa!!!
Mbona akiamua kuchepuka wako wengi tu huko mtaani wenye muda,house boy inakuwa kama unambaka maana ana hofu yuko na big boss!
ivi ukisha mla mkeo mpaka umekinai, ni dhambi mwingine kula??
We mzee mwenye nyumba umekalia pombe na nyama choma wengine mipira ya Premier league ukirudi upo bize na laptop unajidai upo bize. Hata ukipewa game full kulalamika eti umechoka unako.joa kimoja hoi. Mwenzio houseboy yupo home saa zote wife akirudi amechoka anaanza kwanza na Salaam Shikamoo Mama...Pole... anampokea begi.. anamuandalia juice...maji ya kuoga...sasa siku anatunukiwa papuchi anapiga papuchi kama hana akili nzuri.....WE KAZI KUSUKUMA KITAMBI TU.....