Ma-handsome hawana lolote kitandani


Umegeneralize sana aisee, u handsome hau husiani chochote na performance ya mtu, hao uliokutana nao wewe ndo wabovu bana
 
In research we call this "speculations"!
Huna hakika, wala haiwezi kuwa lazima iwe kweli!Mwanaume gani anajijua yeye ni handsome, angalau mwenye fedha anaweza kujijua "kwa kudhani anazo"!being handsome only women can tell, na hawawezi kuwa wote wanadhani wewe ni handsome!same to kuwa na hela!Nadhani kama ni utafiti, basi huu una mapungufu mengi!Maana pengine ni (guesing) asilimia 2 (2%) ya wanawake wanakuwa na wapenzi ambao wanaamini sio ma handsome!
 

ujandsome my foot? mwanaume pesa uzuri kapigie picha tho awe na kamvuto kidogo atafanyiwa ammendment taratibu
 
mtoa thread upo too general, unatoa conclusion za kitoto sana yaani una maana mtu ukizaliwa handsome tayari unapata laana ya kuwa mzembe kitandani.... ujasiri wa kuongea maneno kama hayo hadharani unautoa wapi? it is betterto shut up your mouth than talking such rubbish
 
Kwa wale wote wenye matatizo ya kuwai kufika kileleni kutosimamisha vizuri kupiga bao moja tu hoi na nk ni pm nikuelekeze kunywa kiungo flani utakachatengeza kama juisi mara moja na utapona kwa siku 2 au tatu na tatizo litaisha kabisa gharama za maelezo yangu ni elfu tano tu
 

unaonekana wew ni handsome....
 
Ulifanya uchunguzi na kuwahoji wanawaje wangapi??? Inaelekea sample yako ilikuwa ndg sana.
 
Hivi kwa nini wanaume tunapenda kujisifia kuwa tunajua kuwalala wadada, au tuna mihogo ya jang'ombe? Its like kila mwanaume lazma a brag kuhusu hivo vitu..khaaa!!
Duuh!!! Umeonae??? Sikuhz kila Me anatangaza biashara kidizain flan hivi...anyway biashara ni matangazo,hata mtoto mdg mradi wa kiume atakuambia ana 7 inches na kitandani ni gumzo....!!!
 
Swali kwa mtoa maada ... Vipi kuhusu mademu weupe je wanajua michezo na je niwatamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…