Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa.

Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.
..............................................
UPDATE: Nimeulizwa sana swali kwamba "wewe SUPU YA MAWE umejuaje kuhusu hilo swala"
Kiufupi ni kwamba, mimi ni mchunguzi, na nimebobea katika hili swala. Hivyo kwa kutumia njia zangu za kiuchunguzi nilifanya mahojiano na wanawake tofauti na nikabaini hayo niliyowasilisha hapo. Kubali au Kataa, wanaume ma-handsome hawana lolote kitandani, wanatumika kupiga picha tu.
.................

By: SUPU YA MAWE
 
Sema sasa ukutane na kauzu kama mimi, natongoza nimenuna mwanzo mwisho
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Kundi la mwisho: ni ndugu zangu namimi, sio mahandsome na wala hatuna pesa... aisee, mwanamke usimuachie mbunye mwanaume wa aina hii... lazima iote sugu, tena utakimbia na chupi mkononi, atakusugua mpaka utasikia raha baadae itakuwa maumivu na kero.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa. Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.

MCHUNGUZI HURU

mhh....nawe upo kundi lipi......
 
Last edited by a moderator:
mchunguzi huru wewe ni wa kike? kuna shuhuda tunategemea kuzipata kwa wahusika wenyewe.
 
Huu umaarufu wa kuweka sredi nyingi JF unawapeleka kubaya!
Sasa hapa nikikuuliza ushaona performance za mahandiii wangapi utarusha ngumi!
Vp kuhusu madushe yao ?marefu mafupi?.
Enh ndo maswali unataka tukuulize!,na uyajibu!
 
Hahahahaaaaa alitakiwa aitume kwa ID ya ke
 
mkuu, utafiti wako umetulia sana lakini uliufanya miaka ya nyuma. sasa hv kinachoangaliwa ni pesa zako tu--silaha ni PESA, u-handsome ni MZIGO! Mimi ni mmoja wa wanaume wenye sura ya mbuzi lakini kwa kutumia jeuri ya fedha nawatandika madem kama vile sina akili nzuri. chezea fedha wewe! hahahahaha!
 
Huu umaarufu wa kuweka sredi nyingi JF unawapeleka kubaya!
Sasa hapa nikikuuliza ushaona performance za mahandiii wangapi utarusha ngumi!
Vp kuhusu madushe yao ?marefu mafupi?.
Enh ndo maswali unataka tukuulize!,na uyajibu!

Hivi una cheo gani hapa jf vilee.......
 
Huu umaarufu wa kuweka sredi nyingi JF unawapeleka kubaya!
Sasa hapa nikikuuliza ushaona performance za mahandiii wangapi utarusha ngumi!
Vp kuhusu madushe yao ?marefu mafupi?.
Enh ndo maswali unataka tukuulize!,na uyajibu!

Sasa unabishana na eksipiriensi ya ntu????!!!
 
Back
Top Bottom