Vallyvatcher
Member
- Oct 6, 2012
- 8
- 0
natanguliza shukrani zangu ma great thinker... simu yangu aina "LG SU 370" imejilock naomba mtaalam anisaidia namna ya kuiunlock manualy... Asanten
uhitaji hacker unahitaji fundi simu ....
Sawa bosi... Sasa nisaidie kama una utaalam
kuna msg gani kwenye screen !? yaani screen inakupa ujumbe gani
kuna msg gani kwenye screen !? yaani screen inakupa ujumbe gani
.Inasema too many pattern attemts!
To unlock,sign in with google account
Screen inaonesha sehemu ya kuingiza user name(email)na pasword tu