Ma-geneous naombeni usaidizi hapa.

Ma-geneous naombeni usaidizi hapa.

Utaratibu wa kusoma namba ni kuwa
Unatakiwa utamke namba baada ya hapo ndo utamke thamani yake(Usianze kutamka thamani ya namba mfano kusema ELFU kumi , hapa umekosea, yatakiwa iwe KUMI ELFU.)

Ukitumia utaratibu huo hautapata changamoto kwenye usomaji wowote wa namba, kama
10,001=Kumi Elfu na moja
11,000=Kumi na moja Elfu

Usomaji wa namba kwa kingereza ndo unaozingatia hata namba 3,000 huseme Three thousand japo sisi ki mazoe(sio kanuni) tunasema elfu 3 badala ya Tatu Elfu.
 
Back
Top Bottom