[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna ujue mie. LolHayajawahi kueleweka yan
Imagine unaumwa lakini panaumwa hapaonekani wala hapashikiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukubaliane na Mimi? Thubutuu nilivyo na nyodo hivi heheheheee wanawake hatufanani akili,, hizo mambo kapange na wengine sifanyi huo upupu Mimi eti nipange na ex bla bla bla blaaa,, na uchi nikupe[emoji44] asalaleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaah lolTupo kweny agano la kale ..jino kwa jino ukichezea hisia zangu na mimi nakuchezea pia
Na hii ndio nzuri sasa,yan hata akifa haitakiwi kwenda kwenye mazishi tusichoshaneMie tuachane kwa uzuri au ubaya, Kwanza kakwambia Nani kuachana Ni kwa uzuri,, break-up zote huwa mbaya tu,
Tukiachana tumeachana wala sitakufatilia ukitoboa, ukifulia kafie mbele sina kazi na wewe
ili akurudie bila kupendaAkuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe
Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu kinampaga mwanaume stress
Sasa hivi nipo kwa mzee na fanya mambo yangu maana hizi ni dharau sasa. Sitaki ujinga mimi.
Ndio ndio, unaendaje kumzika ex!!Kuna watu wana mioyo ya kufatilia aisee eti anatoka na Nani mara hali yake kimaisha!!! Ili iwe nini labda!!! OoohhhhuuuhhhNa hii ndio nzuri sasa,yan hata akifa haitakiwi kwenda kwenye mazishi tusichoshane
Alieweza kutusamehe cc ni Mungu tu....ila kibinadamu mtu anakwambia amekusaemehe kinafiki....bora nkulipue tu wala tusijuane tena kulikoni nikunafikie kwamba mmekusamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaah lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeandika we au kuna mtu ka hack acc yako?Unaanzaje kumfuatilia mtu ambaye kila mmoja kazaliwa na mama yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Alieweza kutusamehe cc ni Mungu tu....ila kibinadamu mtu anakwambia amekusaemehe kinafiki....bora nkulipue tu wala tusijuane tena kulikoni nikunafikie kwamba mmekusamehe
Mlongo unaweza??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeandika we au kuna mtu ka hack acc yako?
Apo umenena mtu akikuleta ukarimu mfanyie ukarimu mtu akikuletea ushetani mfanyie ushetani full stop.Tuko tofauti,
1. Kama tuliachana for goods,
ntafurahi Sana kuona akifanikiwa
Tena ntamsapoti kwa Hali na Mali ili iwe kumbukumbu nzur MAISHANI mwangu.
Mf:Linah (mhaya), Suriyana (mdigo)
2. Kama tuliachana kwa kebehi na dharau, ntafurahi Sana akiharibikiwa
Tena ntakoleza Moto Ili aharibikiwe zaidi na zaidi ili iwe kumbukumbu mbaya maisha yake yote.
Mf: Joyce (mrangi) ,Anna (msukuma), Diana (msukuma), Deninsia (mmachame)
UKIUA KWA UPANGA, UTAKUFA KWA UPANGA