Ma EX wanajiamini kinoma

Ma EX wanajiamini kinoma

Mie tuachane kwa uzuri au ubaya, Kwanza kakwambia Nani kuachana Ni kwa uzuri,, break-up zote huwa mbaya tu,

Tukiachana tumeachana wala sitakufatilia ukitoboa, ukifulia kafie mbele sina kazi na wewe
Hilo ni beef wewe acha kuwa mkaksi bila sababu! Tunaachana umepata mwamba wa kukuoa najua sina uwezo huo kwa sasa but ile mutual agreement tu kuwa kaolewe ila tunaendelea kumegana.

Such case huwezi kuweka bifu! Ukiweka beef utakuwa na matatizo.
 
Ukubaliane na Mimi? Thubutuu nilivyo na nyodo hivi heheheheee wanawake hatufanani akili,, hizo mambo kapange na wengine sifanyi huo upupu Mimi eti nipange na ex bla bla bla blaaa,, na uchi nikupe😲 asalaleee
 
Kabisa tufanye kampeni ya kutokomeza wivu kwa maendeleo ya nchi
Yeah... kama tunavyofanya kampeni ya mafuta ya nguruwe kuziba pengo la uhaba wa mafuta, basi kampeni na ianze ya kuzalisha MaEx wengi ili kupunguza vifo vya wivu wa mapenzi
 
Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe

Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu kinampaga mwanaume stress

Sasa hivi nipo kwa mzee na fanya mambo yangu maana hizi ni dharau sasa. Sitaki ujinga mimi.
Hivi kuna watu huwa wanaamini kwamba kuna binadamu mwingine hawezi chochote bila wao?!

Hii ni imani ya kushangaza. Kwamba wewe mifumo yote ya uchumi na njia zote za maisha umezishika kiasi kwamba kokote atakakoenda utakwenda kumzibia?

Inawezekana pia hakuna mwenye imani hii isipokuwa ni mawenge tu ya wanaoachwa!
 
Wanaume wenzetu mnatudhalilidha sana siku hizi,Hivi umeandika hii kabisaa! Nina uhakika hapo ulipo umezungukwa na pisi kibao uvivu tu unakusumbua.
 
Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe

Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu kinampaga mwanaume stress

Sasa hivi nipo kwa mzee na fanya mambo yangu maana hizi ni dharau sasa. Sitaki ujinga mimi.
Aisee, yani mtu unaenda mfanyia mambo bila sababu ya msingi 😳!
Hata shetani atakuwa kakaa pembeni anashangaa
 
Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe

Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu kinampaga mwanaume stress

Sasa hivi nipo kwa mzee na fanya mambo yangu maana hizi ni dharau sasa. Sitaki ujinga mimi.

Kwenye hiyo paragraph ya mwisho sijakuelewa, upo kwa mzee unafanya mambo yako ?

Sijaelewa
 
Back
Top Bottom