Ma EX wanajiamini kinoma

Ma EX wanajiamini kinoma

Muwe mnawaacha kimya kimya bila dharau na mbwembwe.
Ukimuacha mwanamke kwa mbwembwe na dharau, baada ya dk 10 anapita karibu yako na mwanaume aliye kuzidi uwezo. Utatamani ufe au uuwe mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawq ni ndogo tu..unampanga aje site...unampga mkia wa kutosha baada ya hapo ni mitama ya kutosha na mnamalizana kijeshi ivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah kisa nn?
 
Watu wanateseka na mapenzi mnoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayajawahi kueleweka yan
Imagine unaumwa lakini panaumwa hapaonekani wala hapashikiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we shouz lol
🤣🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuambie unagulia ukiwa wapi hapo....?
 
Back
Top Bottom