Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,101
Sina mbinu ila ni changamoto ndogo katika mahusiano muhimu kama anayafurahia mahusiano yake mapya na wanapendana kwa dhati🤷🏼♀️Usiniambie una mambinu wm
Sina mbinu ila ni changamoto ndogo katika mahusiano muhimu kama anayafurahia mahusiano yake mapya na wanapendana kwa dhati🤷🏼♀️Usiniambie una mambinu wm
Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
Ni kweli kuna wanaa wana mambo ya kishamba sana... Me ni ME ila hiyo imenikuta sana. Sometimes simu ya mpenzi wangu ilikuwa ina-receive calls na text za ex wake nyingi za kuomba warudiane hadi nikasema enyewe wanaume wengi tunafeligi sana kwenye mahali panaitwa kujitambua, Me ninachojuaga na nilivyotambua ni kwamba ya kale yakipita ni kuganga na mapya na ndo slogan ya kiume na ndivyo nilivyo nikiamua kumove on ... Kuna siku amepiga and namsikia kabisa my woman akawa anamwambia kabisa kwamba tayari ana mtu (ambae ndo mimi) ila wapi jamaa analazimisha.... Kuna siku akapiga nikiwa natungua nazi (having sex) na ex wake huyu ambae ni mpenzi wangu me nika accept call kisha nikaweka loud speaker nisikie atasemaje kisha nikawa nachochea gia akawa anasikia miguno simu naielekeza sehemu zenye milio ya (PAPAPAPA NA MIGUNO YA PISI) nia tu asikie sauti ajiongeze na kweli akaelewa basi hamna siku jamaa alitukana kama ile, Alinitukana hadi mimi as if ananijua😁😁😁, Sikuwa najibu zaidi ya kufocus na operation ile hadi akakata cm, enyewe baadae baada ya kukitupa bibie alifurahi sana akaanza kuniita ADUI, Niliamua kufanya vile kwa hasira ili aache usumbufu basi toka hio siku sikusikia tena usumbufu wa yule mwamba.
Sasa si ukamshtaki kwa murilo,Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
HahaaaaHayo maswali muulize mleta mada...
Sikuizi sitaki kua mshauri wa mapenzi kabisa![]()
Umenichekesha usiku huu...hapo zamani ilikuwaje? Ulikuwa unatoa ushauri kama mama Terry...Hayo maswali muulize mleta mada...
Sikuizi sitaki kua mshauri wa mapenzi kabisa![]()
wewe umeona kublock tu kwani si alikuwa anapiga hadi na namba mpya hujaona kwamba solution ni kubadili number kabisa na ilifika hadi chick akataka kufanya hivyo me ndo nikamuambia aache tu haina haja jamaa apige hadi achoke coz me sinaga pigo za kukuza mambo hasa kwenye mahusiano. najua pisi akiwa na mimi muda huu ndo ndo wangu akitoka huko atajua mwenyewe na hata akiamua asirudi pia fresh.. Me ni mtu wa nikifunua nimefunua na nikifunika nimecheza.Unadhani kwanini demu wako mpya,hakuthubutu kum-block...?Janjaruka mwamba.
😂😂😂😂😂😂🙌Umenichekesha usiku huu...hapo zamani ilikuwaje? Ulikuwa unatoa ushauri kama mama Terry...
Kwani ukimpata mpenzi mpya unamwambia huyo ex wako ?Anamfata huyo mtu kumuonya kuwa aachane na mm
Kitumbua kitamu ex mwekezaji anafikiria Pesa alizowekeza akiweza amwambie bwana wake huyu ex nilimkopa kiasi kadhaa mpe aende au nasema UONGO Cute Wife Mrs Thabo Bester Kapeace Leejay49



Inawezekana anamhurumia uliyempata kwasababu wewe unachuna Sana alafu kwa Mkapa Ni GogoJamani hivi umeachana na mtu wako, unajaribu ku move on yeye Bado anakukwamisha.
Yaani hata ukimpata mtu mwingine anakuharibia yeye ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lakini hatak akuone ukipata mtu mwngn hv mtu kama Huyu unamfanyj![]()



Jamani hivi umeachana na mtu wako, unajaribu ku move on yeye Bado anakukwamisha.
Yaani hata ukimpata mtu mwingine anakuharibia yeye ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lakini hatak akuone ukipata mtu mwngn hv mtu kama Huyu unamfanyj![]()
Naam mtibeli umesema kweli ndo maana nami nilimwambia shida sio ya huyo ex ni ya mleta mada mwenyeweMoja Kati ya haya ni majibu ya changamoto hiyo;
1. Amekudharau.
2. Umejidharau
3. Amekuona bado unampenda.
4. Unamu- entertain
5. Amekuona ni mtu wa kukufanyia mizaha na kukudhihaki.
Chakufanya
1. Jiheshimu.
Jipende, jikubali, kuwa na msimamo na uonyeshe Kwa Watu watakuelewa Kwa namna hiyo, ex wako akikujua unajiheshimu hawezi kukuvunjia heshima yako. Kikawaida wewe binafsi ndiye unayejivunjia heshima.
Unapoongea Jambo hakikisha unamaanisha.
2. Tafuta mwanaume wako alafu mwambie amuonye huyo Ex wako.
Kuna pisi tuliachana inaanza kuzusha kuwa nataka kuiua na haitaki kuja ata kwao kumbe uongo nimesikia nmecheka mno



