Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Bado ex anataka kula kitumbua sasa hapo yeye mwenyewe anataka kumpa ex ale kitumbua Ila hasemi, umenielewaKama kweli wanapendana kwa nini maneno ya ex yalete sitofahamu katika mahusiano yao 🤷🏼♀️
Bado ex anataka kula kitumbua sasa hapo yeye mwenyewe anataka kumpa ex ale kitumbua Ila hasemi, umenielewaKama kweli wanapendana kwa nini maneno ya ex yalete sitofahamu katika mahusiano yao 🤷🏼♀️
NimekuelewaBado ex anataka kula kitumbua sasa hapo yeye mwenyewe anataka kumpa ex ale kitumbua Ila hasemi, umenielewa
Kitumbua kitamu ex mwekezaji anafikiria Pesa alizowekeza akiweza amwambie bwana wake huyu ex nilimkopa kiasi kadhaa mpe aende au nasema UONGO Cute Wife Mrs Thabo Bester Kapeace Leejay49Wewe achana nae ataleta maneno mwisho ataleta mwili wake kwa Mwanaume mwezie 😁
Mkuu nna kaswali ka kizushi nikuulize hapa hapaNimekuelewa
Jibu hili hapaRudianeni mnapendana bado
mimi sina cha kumwambia zaidi ya pole..Kitumbua kitamu ex mwekezaji anafikiria Pesa alizowekeza akiweza amwambie bwana wake huyu ex nilimkopa kiasi kadhaa mpe aende au nasema UONGO Cute Wife Mrs Thabo Bester Kapeace Leejay49
Pole ya nini hapo sasamimi sina cha kumwambia zaidi ya pole..
Si amesema anaharibiwa mahusiano yake mapyaPole ya nini hapo sasa
Mwanaume wake mpya kamjuaje ex wakeSi amesema anaharibiwa mahusiano yake mapya
UlizaMkuu nna kaswali ka kizushi nikuulize hapa hapa
Amlambe block simple mbona,, akicheka na kima.......Kitumbua kitamu ex mwekezaji anafikiria Pesa alizowekeza akiweza amwambie bwana wake huyu ex nilimkopa kiasi kadhaa mpe aende au nasema UONGO Cute Wife Mrs Thabo Bester Kapeace Leejay49
Hayo maswali muulize mleta mada...Mwanaume wake mpya kamjuaje ex wake
Usiniambie una mambinu wmMbona kesi ndogo haitaji kuumiza kichwa.
Hayo maswali muulize mleta mada...
Sikuizi sitaki kua mshauri wa mapenzi kabisa 🙌🙌