ms emmaa
Senior Member
- Jun 13, 2023
- 119
- 207
Jamani hivi umeachana na mtu wako, unajaribu ku move on yeye Bado anakukwamisha.
Yaani hata ukimpata mtu mwingine anakuharibia yeye ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lakini hatak akuone ukipata mtu mwngn hv mtu kama Huyu unamfanyj [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]