Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Sasa ulipata raha ya nini???
Watu ku act kishamba au?
Kinachochekesha zaidi ni nyani kufurahi kwa jinsi hii kuhusu maisha ya wenzake.
Ukiwacheka wanaoweka flash drive kama washamba wanaotaka kujionyesha wanacheza na computer saa zote, wao watakucheka kwa kuweka msalaba na kujifanya unajua dini mda wote.
Different strokes for different folks, live and let live.
msameheni jAMANI LEO JUMAPILISasa ulipata raha ya nini???
Watu ku act kishamba au?
MM nimekuambia naninginiza msalaba?
Si mda mrefu nilikuwa bongo katika tembea tembea,nikawa nakutana na washkaji wamenin'giza flashcard shingoni.Nilipomuuliza jamaa yangu akaniambia kuwa ukitembea na nayo ndio watu wanajua kuwa wewe mda wote unacheza na makomputer mda wote. yaani ni ujiko kutembea nayo. nilipata raha sana..bongo kweli tambarare.
hapo umeangalia ishu kwa upande mmoja so subjective! ungekuwa umeongea nao kwa kina lakini, sio one simple assumption into the conclussion. Hanging the flash card is for security at time, usijifanye mzungu. zinateleza sana hizo na wengi hatuna back ups au PC zetu ni shared na huwezi ukaacha mambo personal kwenye PC.
mswahili akiona jua tu, anaanza kuwaona wenzie primitivu hiyo ni passive way ya kumtukuza mzungu.
have ever been wrong? if yes, you are wrong again, if know, this time you are wrong nyani

Mkuu Nyani hapa ulikusudia kutueleza nini hasa? Manake binafsi bado sijaona mantiki ya hii mada uliyoanzisha..
Nina hakika hata wewe ni mbeba flash shingoni kwa nia ya kujionyesha kwa watu. unaboa..Mkuu Nyani hapa ulikusudia kutueleza nini hasa? Manake binafsi bado sijaona mantiki ya hii mada uliyoanzisha..
Wewe unataka nini sasa, kama hujaona lazima uchangie? usi...hapa
Mkuu umekosea, hiyo siyo tabia yangu ilaNina hakika hata wewe ni mbeba flash shingoni kwa nia ya kujionyesha kwa watu. unaboa..
Kuna ma inferiority complex mengine mabaya kweli.
Kuna ma inferiority complex mengine mabaya kweli.