Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
Si mda mrefu nilikuwa bongo katika tembea tembea,nikawa nakutana na washkaji wamenin'giza flashcard shingoni.Nilipomuuliza jamaa yangu akaniambia kuwa ukitembea na nayo ndio watu wanajua kuwa wewe mda wote unacheza na makomputer mda wote. yaani ni ujiko kutembea nayo. nilipata raha sana..bongo kweli tambarare.