Ma-brothermen wa kibongo na flash card shingoni

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Si mda mrefu nilikuwa bongo katika tembea tembea,nikawa nakutana na washkaji wamenin'giza flashcard shingoni.Nilipomuuliza jamaa yangu akaniambia kuwa ukitembea na nayo ndio watu wanajua kuwa wewe mda wote unacheza na makomputer mda wote. yaani ni ujiko kutembea nayo. nilipata raha sana..bongo kweli tambarare.
 
Sasa ulipata raha ya nini???
Watu ku act kishamba au?

Kwa sababu ni kichekesho.wewe na akili zako huwezi kuwa umevaa fresh halafu upo church umenin'giniza flashcard shingoni. lakini sio kwamba nahukumu mtu hapa.
 
Kinachochekesha zaidi ni nyani kufurahi kwa jinsi hii kuhusu maisha ya wenzake.

Ukiwacheka wanaoweka flash drive kama washamba wanaotaka kujionyesha wanacheza na computer saa zote, wao watakucheka kwa kuweka msalaba na kujifanya unajua dini mda wote.

Different strokes for different folks, live and let live.
 
MM nimekuambia naninginiza msalaba?
 
MM nimekuambia naninginiza msalaba?

Msalaba ni mfano tu,

Unaweza kuwa unavaa kibichkoma au mgolole au suti au chochote unachovaa, wakiamua kuku label kwa stereotypes na wao wanaku label tu.

Naona umeshindwa kuelewa the moral of the story, usi label watu kwa generalization, kwa sababu na wao wakiamua kukulabel wewe kwa generalizations hizo hizo hutafurahi.

Inawezekana hao ni Borgs kutoka the next galaxy wanatumiana signals kutoka hizo unazozifikiri kuwa ni flash drives.

Quit being so parochial na kuchunguza kila mtu anavaaje na kuishije, what's next, utataka kuangalia katika majaa yao kama wana magamba ya mayai au vichwa vya dagaa?
 
Si mda mrefu nilikuwa bongo katika tembea tembea,nikawa nakutana na washkaji wamenin'giza flashcard shingoni.Nilipomuuliza jamaa yangu akaniambia kuwa ukitembea na nayo ndio watu wanajua kuwa wewe mda wote unacheza na makomputer mda wote. yaani ni ujiko kutembea nayo. nilipata raha sana..bongo kweli tambarare.

hapo umeangalia ishu kwa upande mmoja so subjective! ungekuwa umeongea nao kwa kina lakini, sio one simple assumption into the conclussion. Hanging the flash card is for security at time, usijifanye mzungu. zinateleza sana hizo na wengi hatuna back ups au PC zetu ni shared na huwezi ukaacha mambo personal kwenye PC.

mswahili akiona jua tu, anaanza kuwaona wenzie primitivu hiyo ni passive way ya kumtukuza mzungu.

have ever been wrong? if yes, you are wrong again, if know, this time you are wrong nyani
 
Mende dume kamaliza.

Tunarudi kule kuloe kwenye maudhui yangu makubwa, generalization is not good for your mental health.

And by the way even that 70% figure, without footnotes, is a gross generalization.
 
hapo umeangalia ishu kwa upande mmoja so subjective! ungekuwa umeongea nao kwa kina lakini, sio one simple assumption into the conclussion. Hanging the flash card is for security at time, usijifanye mzungu. zinateleza sana hizo na wengi hatuna back ups au PC zetu ni shared na huwezi ukaacha mambo personal kwenye PC.

mswahili akiona jua tu, anaanza kuwaona wenzie primitivu hiyo ni passive way ya kumtukuza mzungu.

have ever been wrong? if yes, you are wrong again, if know, this time you are wrong nyani

Mambo gani? nyimbo za mp3?
 
Mkuu Nyani hapa ulikusudia kutueleza nini hasa? Manake binafsi bado sijaona mantiki ya hii mada uliyoanzisha..
 
Nina hakika hata wewe ni mbeba flash shingoni kwa nia ya kujionyesha kwa watu. unaboa..
 
Ohps msg delivered. Ukweli huwa unauma. Kwamba utunzaji flash ni kuning'iniza??? Security??? Hapana, hii ni kama unaenda lunch unakuta watu wamening'iniza vitmbulisho vya makazini kwao kujionyesha wanafanya kazi wapi? Ni Ngeleja design! (Hunijui mimi?) So what!
 
Wewe unataka nini sasa, kama hujaona lazima uchangie? usi...hapa

Mkuu pole sana, hapo sijachangia bali nimeuliza swali.

Nina hakika hata wewe ni mbeba flash shingoni kwa nia ya kujionyesha kwa watu. unaboa..
Mkuu umekosea, hiyo siyo tabia yangu ila

kama mtu anaishi maisha yake ya nini wewe kuboreka? Si kila mtu amezaliwa ili awe yeye? Waache na maisha yao vinginevyo utajiumiza bure kuwafikiria, ushauri wangu tu huo!

Kuna ma inferiority complex mengine mabaya kweli.

kweli mkuu.
 
Hata kama ni washamba, ushamba zaidi ya hawa washamba ni kuwashupalia washamba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom