donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kwa maana hiyo ukichanganya na hayo matunda tutegemee gesi kutoka kwako?
teh teh, mambo ya mtwaraKwa maana hiyo ukichanganya na hayo matunda tutegemee gesi kutoka kwako?
Acha tusubiri balaa lako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu kwa kuvunjika kidole, Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kiongozi,Chief, ndio kimya hivi, toka west hadi Mtwara!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Maana nimeona hapo kwenye heading kwa tafasiri ya kiswahili kwamba umevunjika kidole...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimemiss chapati. Umenifanya nikanunue ung wa ngano
Na iyo mawani zako za mbaoNimeona yai hapo kwenye chapati ni kweli?
Ndizo ulivaa kuona yule demu mbeba kombe?Na iyo mawani zako za mbao
BhebhePole sana mkuu kwa kuvunjika kidole, Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye mada wewe
Una sema nini wewe semenya fanya kazi mafii yakoJikite kwenye mada wewe