FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Leo nilimtembelea rafiki yangu ofisini kwake hapa mjini opposite na ofisi za VODACOM. Ukweli mahusiano ya rafiki yangu na sekretary wake yamenitisha sana. Kwanza Sektretary mwenyewe amekaa kimitego mitego, kuanzia macho, mavazi hadi sauti. Sasa jinsi anvyopewa maelekezo na kuyapokea mimi nimetishIKA sana. Nimekuta wanapanga safari ya kwenda kwenye zonal meeting huko Tanga (Mkonge Hotel) wote. Namfahamu vizuri rafiki yangu. Kuwa na mdada mzuri vile kwa kipindi kirefu ni hatari sana kwake.
Wanajamii, vipi hivi hawa dada zetu, wake zetu, mashemeji zetu ambao ni masekretary wapo salama kweli. Ukichukulia boss ndo Determinant factor ya maendeleo ya sekretary wake.......
Wanajamii, vipi hivi hawa dada zetu, wake zetu, mashemeji zetu ambao ni masekretary wapo salama kweli. Ukichukulia boss ndo Determinant factor ya maendeleo ya sekretary wake.......