Ma binti wa siku hizi badilikeni

Ma binti wa siku hizi badilikeni

Katika kipindi cha miezi saba nime date na WAREMBO sita tofauti, but nilicho experience kutoka kwao ni VITU vya HOVYO kabisa!

Watoto wazuri wameumbika sana, kiasi kwamba hakuna atakae katiza mbele ya wanaume akaachwa bila kuutathmini UUMBAJI wa MUNGU!

Kilicho sababisha hadi niandike UZI huu ni kutokana nakutokuwa na HAMSHA HAMSHA ktk UANJA wa MAPAMBANO.
Yaani wa kiume unajitahidi Kadri ya uwezo wako kuwa so ROMANTIC from the beginning kabisa but unakuta KIUMBE cha MUNGU kizito kama kimetoka kubeba kunia la viazi.

HEBU BADILIKENI BHANA
Ulishauriwa humu,usichukue mabinti wa 18-25 chukua between 30-35.
 
Back
Top Bottom