Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,342
- 94,016
LadyMabinti watakua wamekuelewa
LadyMabinti watakua wamekuelewa
Hana hela ya kuwapa,angekua nayo asingekuja kulia lia hukuUlikuwa unawapa hela?
Kwa majibu haya lazima wakupige chini tu,maana hakuna namnaNiwape pesa kwani walikuwa wana jiuza?
Subiri ung'atwe na NYOKA ndo utoto utakuishaKwa majibu haya lazima wakupige chini tu,maana hakuna namna
HuhuhuhuHana hela ya kuwapa,angekua nayo asingekuja kulia lia huku
Mnadhani pesa ndo solution ya kila kitu?Huhuhuhu
Kweli kabisa angekiwa naxo asingelia lia
HuhuhuhuMnadhani pesa ndo solution ya kila kitu?
Kama mtazamo wenu ndo huo mtaishi na kuwa makahaba hadi siku ya mwisho.
Asante sanaAisee
Pole sana