Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,971
Ww ndo utakuwa na tatizo na sio wao ...haiwezekani wote sitaa wasiwe na amsha amshaa
Either
1.We mchafu
2.Hutoi elaa
3.Unaandaa lakini hujui umwaandaaje
Au
4.mazingiraa mliyokuwa mnakutaniaaa hayaruhusu hayo mambo,
So tafakari ni wapi ulipokoseaaa then tafuta mwingine uje utupe mrejesho!!!!