Ma binti wa siku hizi badilikeni

Ma binti wa siku hizi badilikeni

Hahah!! Lakini hizo nguo umeanza kujivua mwenyewe ndugu yangu maana mm nmesema kile nilichokiona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuhoji kwako ndio imepelekea nivuliwe nguo
 
Ooooh
Jirani sijambo mimi. Siku hizi umehamia wapi jirani! Kila siku naona geti limefungwa!
Nimefurahi kusiki hivyo jirani.

Jirani nipo kabisa ratiba ndio hivyo tena iko shaghalabaghala.

Najaribu kuset compass bearing hapa lakini Makinikia na uwepo wa asili ya chuma yanavuruga kila kitu
 
Nimefurahi kusiki hivyo jirani.

Jirani nipo kabisa ratiba ndio hivyo tena iko shaghalabaghala.

Najaribu kuset compass bearing hapa lakini Makinikia na uwepo wa asili ya chuma yanavuruga kila kitu
Pole sana jirani..
Ila uwe unasalimia jamanii, nilijua umehama mtaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuhoji kwako ndio imepelekea nivuliwe nguo
Aisee samahan sana ndugu, mm nae kivuruge sana kila siku sikawii kuharibu... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee samahan sana ndugu, mm nae kivuruge sana kila siku sikawii kuharibu... [emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali ndugu kuteleza sio kuanguka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom