Uko sahihi kabisaSawa saw,kibantu ni kipana
Mawe tena??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana mkuu, wadada wa siku hizi wanakatia viuno kwenye mitandao lakini wakifika kwenye gemu wanageuka mawe, ndo maana mimi nafagilia wale waporipori wa Mbekenyela
Usikimbie sasa karibu tule dinner ugali wa bluu na samaki [emoji23] [emoji1] [emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ila rafiki wewe
[emoji15] [emoji87]Jina la Mwifwa??
Kuna lugha neno mwifwa maana yake "Mnakufa"[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio maana yake sasa kwa hiyo lugha[emoji15] [emoji87]
Sisi tunakufa tunatishiana usiku huu jamani.
Unaenda kuarisha kwa toileti. [emoji87]Napita tu
Mmh kufa hakuna jinsia kwa kweli... [emoji1] [emoji23] [emoji119]Ndio maana yake sasa kwa hiyo lugha
Mwanaume unakuaje muoga sasa?
Avatar yako imefanyaUnaenda kuarisha kwa toileti. [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh kufa hakuna jinsia kwa kweli... [emoji1] [emoji23] [emoji119]
We kojoa usaha tu na kaswende yako... [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Avatar yako imefanya
mharo ukate na sasa naskia
Kukojoa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Shemu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haki ya Nan nakujaWe kojoa usaha tu na kaswende yako... [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
ChaaaaUsikimbie sasa karibu tule dinner ugali wa bluu na samaki [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Ugali wa dona ila tunaweka rangi ya bluu, ( rangi ya kupakia nyama au kachori ) [emoji23] [emoji1] [emoji119]Chaaaa
huo ndo ugali wa nini?
Hahahaaaa. Usibaki wazi bwana Mshenga. Ufunge tu.Aiseeee
Nime baki mdomo wazi
Hii tabia ya kutaja taja Jina la MUNGU, hata katika mambo ya hovyo huwa sipendi kabisa, jamani hebu tumuogope MUNGU basi. Tafadhali Jina hili ni Takatifu sana, usilitaje hovyo hovyo, Tumheshimu Muumba wetu.Katika kipindi cha miezi saba nime date na WAREMBO sita tofauti, but nilicho experience kutoka kwao ni VITU vya HOVYO kabisa!
Watoto wazuri wameumbika sana, kiasi kwamba hakuna atakae katiza mbele ya wanaume akaachwa bila kuutathmini UUMBAJI wa MUNGU!
Kilicho sababisha hadi niandike UZI huu ni kutokana nakutokuwa na HAMSHA HAMSHA ktk UANJA wa MAPAMBANO.
Yaani wa kiume unajitahidi Kadri ya uwezo wako kuwa so ROMANTIC from the beginning kabisa but unakuta KIUMBE cha MUNGU kizito kama kimetoka kubeba kunia la viazi.
HEBU BADILIKENI BHANA