goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Kudate na mademu 6 siyo kipimo cha kukadiria kuwa wote wako hivyo, we Sema una kibamia [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
Hapa mmekutana ndugu yangu na best yangu...Naam my
Umeamkaje my??
Ha ha ha...nimecheka sana.Ukiona hivyo jua na wewe huna amsha amsha. Teh
Na usisahau siku zote ndege wafananao huruka pamoja.
Umemaliza kabisa.
Haiwezekani wote sita watoe the same result.
Kuna tatizo mahala.
Weka mazingira huru kwa tendo
Jiweke safi mrembo asikunyanyapae tendoni
Weka mzigo mezani uone miuno yake.
Alafu leta hapa mrejesho
Hahahaaa. Kwa nini sasa? [emoji85] [emoji85]Ha ha ha...nimecheka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sio kwamba ni mzito kama katoka kubeba gunia la viazi
ila ni mzito kama gunia la viazi
sijui tumeelewana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hv vibinti vinapenda sana mapenzi ya show off ila kitandan zero, dawa ni kuwakunja kifo cha mende miguu inafika kichwani kwke
Anhaa sawa best wangu.Ndio best, huyo ni mmoja kati ya members kwenye familia yetu...
Poa best naona wewe ni my wako? [emoji28]Anhaa sawa best wangu.
HuhuhuhuPoa best naona wewe ni my wako? [emoji28]
Hahah!!Huhuhuhu
Ni best yangu tu[emoji13] [emoji13] [emoji125]
My nilikuwa busy sana leo, sasa ndio navuta pumzi mubashara hapa.Salama mai wangu za kwako?