Ma bank teller

Ma bank teller

Pole sana,
Mwambie aoe kawaida hawana tabu.
Ila shida yao ni kuwa hawana muda na familia labda weekend, kuondoka asubuhi kurudi usiku ujinadae kuwa mama wa nyumbani.
yes,,,hii ni kwelii,,,sasa wanaporudi wamechoka vp kuhusu kitandani wanaweza kweli sex??
 
wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..

Kwa kuuliza huku, basi huyo jamaa hastahili kuoa kwani hajapevuka.

Unatumia vigezo gani kujua tabia za bank tellers? ni sawa na kuchukua tabia ya mmoja na kuhukumu wote. Hii wazee wa critical thinking tunaita fallacy of hasty generalization au faulty generalization.

Je wewe kupitia kazi au kabila lako, unafanana na wenzio kwenye kazi hiyo au kabila hilo?
 
anauliza in general
 
Back
Top Bottom