Ma bank teller

Ma bank teller

wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..

Sasa si umwulize huyo mdau wako maana yeye anazijua?

NB:
Baada ya kupata majibu toka kwa huyo mdau, ongezea hili: Tabia ya mtu mmoja haiwezi ikawa ndiyo tabia ya watu wote.
 
Mwisho waache kusoma watoto wetu kuogopa kutokuolewa
 
Mwisho waache kusoma watoto wetu kuogopa kutokuolewa
Mara nyingi wanaanza kama bank teller halafu wanaingia ndani kwenye kazi zingine. Sasa sijui wakiingia ndani wanabadilika tabia au wanabaki na tabia zile zile za teller? Kazi imekuwa tabia
 
anataka kujua tabia za bank teller
Tabia ni mtu mwenyewe,labda huyu teller yuko katika mazingira hatarishi ya kukutana na watu wenye mawe ya kutosha.Sasa kama mwanaume wake anauza mihogo,wakati binti kazini anawahudumia watu wanaomletea milioni 100 huku akimchekea chekea...inabidi kuhesabu maumivu.
 
Mmmh kazi hizi zinaponza jamani basi tu maskin mweeh ila kama ipo ipo tu..
 
wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..

Pole sana,
Mwambie aoe kawaida hawana tabu.
Ila shida yao ni kuwa hawana muda na familia labda weekend, kuondoka asubuhi kurudi usiku ujinadae kuwa mama wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom