Ma anti-lowassa hawapendi kutazama picha

Ma anti-lowassa hawapendi kutazama picha

Status
Not open for further replies.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
Mie sitii neno, the pic speak for itself

970048_661313573882344_1429630831_n.jpg
 
Sioni cha ajabu kwenye picha hii!
yani mtachukia hadi basi ...sahizi kila ukipita kijiweni sehemu za mijini vijijini kila mtu anasema lowassa ndo anafaa kuwa rais wa tz . kwa lowassa akiamua hakuna wa kushindana nae ... chadema mtahangaika sana..na ccm mkumbuke wanafanya utafiti kabla ya kumchagua rais watamleta mtu anayekubalika kwa jamii na kwa sasa upande wa ccm ni magufuli na lowassa mkibisha mtabaki na masabuli yenu
 
Hivi wewe mzima kweli,ebu jaribu kusoma tena ulichoandika kama kweli kinaendana na nilichokuuliza!
 
Kuongea na Rais Oboma anadhani ni dalili nzuri za ndoto za mamvi kutimia.
Asijue ni kwamba Oboma aliongea na watu wengi sana kwa ukaribu wa kutosha kuliko huu.
Usishangae kusikia watu koma mamvi hawaoshi tena mikono baada ya kusalimiana na Oboma kwa imani za kishirikina kwamba wataosha NGEKWA na kulikwaa GUNDU

Hiii Hiii Hiii Kwiiii Kwiiii Kwiii!:becky:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom