Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu
Bado kumkojolea mamakoMabadiliko hayaletwi na mtu anayekunya kwenye nguo, shujaa hajinyei bhana, tukubali ukweli, mabadiliko hayaletwi na mtu dhaifu kama huyo mzee wenu. Acheni kujidanganya wenyewe. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Mabadiliko hayaletwi na mtu anayekunya kwenye nguo, shujaa hajinyei bhana, tukubali ukweli, mabadiliko hayaletwi na mtu dhaifu kama huyo mzee wenu. Acheni kujidanganya wenyewe. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Yaaani we acha tu, hizi elf 10 10 hizi, watu hatujui tunakula nini na tutakula nini, kodi zetu ndo wanawapa, mie naona wanaokomalia ccm ni wale ambao hawajakumbwa na kadhia ya ccm siku za nyuma, wanapoomba kura ni kondoo kabisa, na watakapopewa kura huwa chui, hao hao ndugu watarudi baada ya uchaguzi kuwa bora wangempa mamvi
tupe basi hiyo elimu, ndio lengo lakuwa na hili jukwaa hapa usitoe povu tu
Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu
usipende mawazo yako yafanane na wengine, maana ya mabadiliko ni pana lakini ni nani anataka kuleta mabadiliko, mob phsychology bahati mbaya ilinipitia pembeni
Hivi mpaka kampeni hizi ziishe huko hazina wataacha kitu kweli?.Hii imetokea leo huko Mwanza ,eti vijana zaidi ya 180 wasio na vyama wameamua kufanya kongamano la kuhamasisha amani na maslahi ya taifa/jamii
M4PI kirefu chake ni Magufuli for public interest ...lakini Mimi naitafsiri kama magufuli for prohibited immigrant
Sinema ikakolezwa na wachangiaji kusema wameamua kumuunga mkono magufuli
Kisha wakarudisha kadi ya vyama walivyotoka, mlengwa kikiwa ni CHADEMA
Kisha wakaahidi kumpa Kura magufuli na kuahidi kuwahamasisha wengine kufanya hivho
Tujadili ::
- Ni kongamano LA vijana wasio na vyama lakini wana kadi za vyama vya siasa.... Upuuzi uliovuka mipaka
- Anaalikwa mwakilishi wa ccm kupokea hizo kadi chache zilizorudishwa na kusema kuwa ha simu na kuja fasta... Uongo wa kitoto hasa
- Vijana wanahojiwa mmoja mmoja wachache wao, wanasahau lengo la kongamano lao na kujibu Kama watu waliopangiwa majibu na ccm, na karibia wote wakimsifu Sana Magufuli.
Chombo cha habari kilichoalikwa ni Star TV na habari inapewa coverage kubwa mno... Na hii ndio M4PI,
Jamani mwenye kuwa na uelewa zaidi juu ya katiba ya jamhuri yamuungano wa Tz. Je? Hili baraza litakuwepo hata baada ya Rais mpya kuapishwa?. Kizunguzungu