Maelezo yako tuu yanaonesha jinsi gani huzifahamu siasa za Geita mkuu, kama hufahamu hata kama diwani wa kata ya Kalangalala ni wa CHADEMA hatuwezi kuargue!
Mkuu huyu jamaa nimemuomba tufanye debate humu ndani juu ya siasa za Geita lakini naona amekimbia kwa sababu maelezo yake mengi anaungaunga tu hana data za kutosha,siasa za geita nazijua kuliko yy.nilitaka dibate yetu ilete mwonekano chanya nn cdm ifanye ili ipate mafanikio makubwa.
Mtaalamu Chris lukos wapi ndugu, hebu toa comment zako juu ya hili. Maana kanda kaskazini, kusini na magharibi sasa kumewaka. CCM eti wanahuzunika kwa kesi ya lwakatare kuwa vile ndio maana wametulia wanatafakari watoke kivipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.