wao wanatumia pesa sisi tuna Mungu.pesa sikiisha ndo mwisho wao lakini Mungu fadhili zake za dumu mile na mile
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
jf kila kitu kiko waziii kabisa!Cdm iliposhinda Arumeru, nimethibitisha kwamba ccm hakuna tena! Do you remember that many Pro CCMs went there 4 political rallies. Eg lowasa, nape, wasira, lusinde, etc but finally bwerereeeee! Nyie watu nawambia hamna atakaeweza shindana na MUNGU.
Ahaa haaaa kama kweli mna Mungu msingeomba pesa mngeomba mchangiwe vitabu vya dini acheni uongo!
Chama
Gongo la mboto DSM
mwandiko wa dokta mchafu lakini unaponakama mwandiko wa kwenye keybody ni huu,je wa kuandika na kalamu utakuwaje?
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Hata zomba huwa anatinga misuruali hiyo aina ya pedoMkuu Ritz ni CDM damu, tatizo lake ni kwasababu ni mdini. Jamaa ni wa ile dini ya suruali za pekos!
Mkuu Ritz ni CDM damu, tatizo lake ni kwasababu ni mdini. Jamaa ni wa ile dini ya suruali za pekos!
Kwa hiyo unamaanisha sera za CDM na dini unayoita ya suruali ya pekos ni vitu viwili tofauti? ebu jaribu kushirikisha ubongo kabla kuanza kutema pumba.
Misukule ya Nape iko kwenye mgomo kwa madai kuwa Nape anawapiga panga kwenye posho zao.
Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Hata zomba huwa anatinga misuruali hiyo aina ya pedo