jamaa yetu huyu tena akijifuta jasho..............hata yeye kwenda na hiyo kijani is also another trouble..........View attachment 79469
Hivi askari wote hao watano wanamdhibiti kijana mmoja? it is a shame kwahiyo wangekuwa vijana 10 askari wangekuwa 50
TBC si ni chombo cha chama, kionyeshe unyama wa polisi ili iweje?TBC hawakuonyesha hii kitu!!
Hivi askari wote hao watano wanamdhibiti kijana mmoja? it is a shame kwahiyo wangekuwa vijana 10 askari wangekuwa 50