OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
:ranger: kule kule kwa kila siku!!
bwana fuvu hebu tutajie ni wapi hapajaguswa na M4C??
:ranger: kule kule kwa kila siku!!
Maisha bora kwa kila mtanzania....Asalaaaaaaleeeeeeee..... Ningekuwa mwana sisiem kaazi kweli kweli kulitetea hili dubwana...lazima uve miwani ya mbao.....
Halafu mkuu jogi ukiona nyumba zilizo jirani na hiyo picha utahesabu za bati kijiji kizima (ambacho kule kwetu kieneo ni sawa na kata halafu hizo za nyasi kama zipo ni kwwa ajilli ya maonesho).....Cha ajabu zitakuwa zimepambwa kwa bendera zakijani na mabango ya Chagua Kikwete chagua CCM, Kasi Zaidi, Ari Zaidi Nguvu zaidi. Huo umeme unaouona hapo wanaishia kuona nguzo tu zikipita kwenye mashamba yao...hawana shida hawapendi shida.....
Ona kwa wasiopenda shida.....View attachment 54262

oparesheni kusini itaanza tarehe 28 kwa siku kumi na tano mfululizo halafu zanzibarkweli bana naona wanaonea upande mmoja tuu,waende na kusi basi tusikie joto na imani.