CHADEMA imekuwa ikimsumbua John Magufuli Jimbo la Chato Toka akiwa Mbunge

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,535
8,620
Watu wengi hawajui kuwa JPM mara zote amekua akikabiliwa na upinzani mkali Chato toka akiwa Mbunge. Jimbo hilo kabla ya mgawanyo limeongozwa na Mwalimu Kabuye. Baadaye akashawishi likapatikana jimbo la Chato. Mara zote amekua akikutana na ushindani mkali.

Japo Wagombea Ubunge wamekua wakitolewa kwa hila naye kupita bila kupingwa ; ukweli umekua kwenye SErikali za Mitaaa ambako mara zote Chadema wamekua wakishika vijiji vingi zaidi kuliko CCM.

Hata Sasa ni Rais nikitegemea upinzani Ufe kabisa Chato Lakini ni tofauti japo Polisi wametumika kuwafanyia ubabe wapinzani bado wana dunda.

Kama wapinzania wa Chato wanayavumilia haya wa maeneo Mengine ni kina nani mkate tamaa?

Tulinde Demokrasia ni Afya hata kwa sisi ambao sio wana Chadema. Tutapata Demokrasia Ndani ya vyama vyetu

Hongera Mama Chato !!!!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

 
Umenifungua macho. Jiwe ni mtu mwenye kisasi. Wote waliotofautiana naye miaka mingi huko nyuma, akiwemo Jerry Slaa, amelipa kisasi baada ya kupata madaraka. Ndio maana hataki kabisa kuisikia ama kuonana na CHADEMA! Eti mniombee nisiwe na kiburi. Kweli anastahili kuombewa.
 
Chadema ni mawakala wa mabeberu.

Ccm ni mawakala wa mafisadi papa.

Chagua upande ulio na nafuu.
 
Watu wengi hawajui kuwa JPM mara zote amekua akikabiliwa na upinzani mkali Chato toka akiwa Mbunge
Jimbo hilo kabla ya mgawanyo limeongozwa na Mwalimu Kabuye ... baadaye akashawishi likapatikana jimbo la Chato .. mara zote amekua akikutana na ushindani mkali
Japo wagombea ubunge wamekua wakitolewa kwa hila naye kupita bila kupingwa ; ukweli umekua kwenye SErikali za Mitaaa ambako mara zote Chadema wamekua wakishika vijiji vingi zaidi kuliko CCM
Hata Sasa ni Rais nikitegemea upinzani Ufe kabisa Chato Lakini ni tofauti japo Polisi wametumika kuwafanyia ubabe wapinzani bado wana dunda

Kama wapinzania wa Chato wanayavumilia haya wa maeneo Mengine ni kina nani mkate tamaaa ??

Tulinde Demokrasia ni Afya hata kwa sisi ambao sio wana Chadema
Tutapata Demokrasia Ndani ya vyama vyetu

Hongera Mama Chato !!!!
View attachment 1486666
View attachment 1486668
Chadema inatisha
Chadema inakufa mapema
Sasa huyo mama ndiyo umeona mmeshinda!
Ndio maana chadema wakawa wanaongoza wao Hilo Jimbo
Chadema ni mawakala wa mabeberu.

Ccm ni mawakala wa mafisadi papa.

Chagua upande ulio na nafuu.
Mama chato anaweza sana na kweli nimegundua kuwa kuna watu wenye akili kumbe maeneo hayo?!
 
Back
Top Bottom