M4c - vita bado inaendelea - lema aichakaza chato ni jimbo la magufuli

Maisha bora kwa kila mtanzania....Asalaaaaaaleeeeeeee..... Ningekuwa mwana sisiem kaazi kweli kweli kulitetea hili dubwana...lazima uve miwani ya mbao.....

Halafu mkuu jogi ukiona nyumba zilizo jirani na hiyo picha utahesabu za bati kijiji kizima (ambacho kule kwetu kieneo ni sawa na kata halafu hizo za nyasi kama zipo ni kwwa ajilli ya maonesho).....Cha ajabu zitakuwa zimepambwa kwa bendera zakijani na mabango ya Chagua Kikwete chagua CCM, Kasi Zaidi, Ari Zaidi Nguvu zaidi. Huo umeme unaouona hapo wanaishia kuona nguzo tu zikipita kwenye mashamba yao...hawana shida hawapendi shida.....
Ona kwa wasiopenda shida.....
View attachment 54262

Kwanza nawapongeza wafanya biashara wazalendo wanao hatarisha mali zao kwa kuzipitisha kwenye barabara za aina hii! Wanahitaji kupongezwa maana wadipofanya hivyo watanzania wenzrtu waliopigika na ccm watapata tabu kweli! CCM Ovyoooooooo!
 
Maisha bora kwa kila mtanzania....Asalaaaaaaleeeeeeee..... Ningekuwa mwana sisiem kaazi kweli kweli kulitetea hili dubwana...lazima uve miwani ya mbao.....

Halafu mkuu jogi ukiona nyumba zilizo jirani na hiyo picha utahesabu za bati kijiji kizima (ambacho kule kwetu kieneo ni sawa na kata halafu hizo za nyasi kama zipo ni kwwa ajilli ya maonesho).....Cha ajabu zitakuwa zimepambwa kwa bendera zakijani na mabango ya Chagua Kikwete chagua CCM, Kasi Zaidi, Ari Zaidi Nguvu zaidi. Huo umeme unaouona hapo wanaishia kuona nguzo tu zikipita kwenye mashamba yao...hawana shida hawapendi shida.....
Ona kwa wasiopenda shida.....
View attachment 54262

Naona magogoni tunakaribia, asante mungu kutuwekea mikono
 
Back
Top Bottom