RBC jiliwaze tu. siipendi ccm, ila mimi nipo hapa JF utajaniambia hata kama sio wazi basi hata kimoyomoyo kuwa usicheze na hao wezi wa ccm. hata wewe mwenyewe unaweza ibiwa. hiyo 9, lakini 10 ni hao wananchi wengi wao hawana vichwa bali wana vitunguu tu juu ya shingo zao. usijipe matumaini sana utajajinyonga bure.Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Hivi ni kweli majina huumba ? Naanza kuwaheshimu wahenga .
ni kweli pia mengi yalichangia
ss subiri daftari la wapiga kura kwanza liboreshwe, na hili wimbi la vijana wahitim kuanzia fm 4 Up 2 university ambao hawana ajira El anawaita bomu linalosubiri kulipuka, uone historia itakavyoandikwa
mkuu mbona unajifanya mgumu kuelewa kwa kitu ambacho kiko wazi. au hujui ushamba wa watanzania. hao wengi wao wamekuja kushangaa chopa tu. you will see. na bado hapo ccm hawajaiba.Ukiangalia Picha utaona Watu wanaiangalia Chopa au Mnyika!?
umeona mkuu! kama kweli! kweli wanakubalika sana!Wewe ni Geneous Mkuu.
Zitto kajificha chini ya meza kwisha hbr yake
Mnyika sukuhizi hatoi namba za watu tena
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
Habari za kuaminika ni kuwa ametuma team ya watu wazito akiwemo mama yake na baadhi ya wasomi wenye hadhi ya uprofessa, kwa Kamanda Mbowe ili ku-reconcile.