Mtyama
Member
- Feb 1, 2008
- 53
- 25
Mchana huu, Musoma Mjini itakuwa na Ugeni wa Dkt Wilbrod Slaa na Wah. Wajumbe wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Musoma Mjini, Mhe. Vincent Nyerere katika kuendeleza shughuli za Chama nchi nzima kupitia M4C-PamojaDaima. Dkt Slaa na Waheshimiwa Wajumbe wataongelea mambo mengi ya mustakabali wa Jimbo la Musoma, Mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla. Tutajaribu kuwajuza kadri ya Mikutano hii inavyoendelea.